Hivi ni vidonge vinavyotumiwa sana miongoni mwa wanaume au vijana wengi kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi.
Dawa hizi hutumiwa zaidi na wanaume wasioweza kusimamisha uume vizuri(low libido) kwa lengo la kumuwezesha kukidhi haja zake au za mwenza wake wa kike.
Lakini pia zimekuwa zikitumiwa na vijana wengi kwa lengo la kumkomoa mwanamke au wengine hufanya kwa kuiga kutoka kwa marafiki na waigizaji video za ngono.
Viagra haimfanyi mtu kupata hamu ya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu atakuwa na hamu ya kufanya ngono.
Inasemekana Kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu tatizo la Presha, lakini ilionyesha maajabu pale ilipooneka kuwafanya wagonjwa kuwa na nguvu nyingi za kusimamisha maumbile yao ya uzazi.
Baada ya hapo zikazuiliwa kutumika mahospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na kuanza kutumiwa na wanaume wenye matatizo ya kusimamisha.
Na walikua wakipewa dawa hii chini ya uangalizi wa daktari huku wakipata ushauri wa kutosha kwamba wataweza kusimamisha lakini baada ya muda fulani mwenye changamoto huweza kurudia hali yake ya kutosimamisha
MADHARA YA DAWA HIZI.
1.Mtu anayetumia vidonge hivi bila usha wa Daktari huku akiwa na matatizo mengine ya Kiafya kama Presha yuko hatarini kupoteza uhai wake.
2.Matumizi makubwa ya dawa hizi hufanya tatizo kuwa kubwa zaidi kwa sababu dawa hizi humfanya mtu kusimamisha kwa muda tu kwani akihitaji kufanya mapenzi siku nyingine inampasa ameze tena.
3.Hali hii ya kuzimezameza humfanya mhusika kuwa tegemezi na kumfanya azidi kuongeza dozi zingine na mwisho wa siku hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.
4.Madhara mengine ni kupoteza uwezo wa kusikia(uziwi) pamoja na kupoteza uwezo wa kuona.
Kuliko kutumia vidonge hivyo ambavyo mwisho wa siku huleta madhara mengi kiafya ni bora wanaume wakajikita kwenye matumizi ya virutubishi dawa zilizotengenezwa na mimea ya asili ili kurejesha uhimala wa misuli pamoja na kuboresha mzunguko wa damu.
Dawa hizi pia huufanya mwili kuwa imara na kuzuia madhara yaliyosababishwa na dawa za kusisimua misuli ambazo athari zake huwa ni mbaya sana.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi
Phone:0783708295
Email:jumaomy360@gmail.com
No comments:
Post a Comment