Tezi dume ni nini?
Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.
Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.
Saratani ya tezi dume ni nini?
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezidume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini
Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume
1.Umri Mkubwa kuanzia miaka 50
2.Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii
3.Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu
4.Unene uliokithiri
5.Ukosefu wa mazoezi
6.Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.
7.Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume
Dalili zake ni zipi?
1.Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
2.Kwenda kukojoa mara kwa mara.
3.Damu ndani ya mkojo.
4.Kushindwa kukojoa.
5.Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
6.Wagonjwa wengi huanza maumivu yanyonga kama ni dalili za awali.
7.Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
8.Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
UCHUNGUZI
Wanaume wote wanpaswa kufanyauchunguzi wa saratani ya tezi dume kuanzia miaka 50. Kwa wale wenye historia katika familia wanapaswa kuanza wakiwa na umri wa miaka 45.
Uchunguzi unafanyika kwa njia zifuatazo
=Uchunguzi kwa cancer marker kwa kuchunguza damu (PSA).
=Uchunguzi kwa njia ya kipimo cha njia yahaja kubwa (DRE)
=Biopsy.
=Ultrasound.
=X-ray.
=Bone scan.
Jinsi ya kutibu saratani ya tezi dume
√Upasuaji.
√Mionzi
√Dawa ya saratani
√Homoni.
Matibabu hutegemea
Ngazi na ukali wa ugonjwa.
Je, ugonjwa upo ndani ya tezi dume tu au umesambaa.
Umri na afya ya mgonjwa.Magonjwa ambatanishi na saratani hiyo, shinikizo la damu, matatizo ya moyo na kisukari.
TIBA
UPASUAJI
•Kuondoa tezi dume yote peke yake inaweza ikatosha.
•Kuondoa tezi dume na tezi jirani.
•Kuondoa tezi dume na kuhasi
•Kuondoa tezi dume kidogo kupitia njia yamkojo na kumpa mgonjwa tiba shufa.
•Lakn pia ipo njia ya asili inatibu tezi dume bila kufanyiwa upasuaji na unapona kabisa ndani ya miez mitatu kwa dozi utakayo pangiwa lakn pia unaweza kutumia ili kujikinga.
KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI
+255783708295
Gud
ReplyDeleteanha
Delete