MAHUDHURIO SAHIHI YA CLINIC KWA MAMA MIAMZITO

Mahudhurio ya Kliniki yamegawanyika katika makundi manne kulingana na Umri wa Ujauzito japo yanaweza kuzidi manne kulingana na Hali ya Ujauzito.
 
(1)Hudhurio la kwanza  ni Ujauzito kabla ya kufika wiki 16, hii ndyo protocol,japo mabadiliko ya kuanza hudhurio la kwanza huweza kutegemea na hospital sehemu ulipo

(2)Hudhurio la Pili ni Ujauzito ukiwa na umri wa wiki 20-24

(3)Hudhurio la Tatu ni Ujauzito ukiwa na umri wa wiki 28-32
 
(4)Na hudhurio la Nne ni Ujauzito ukiwa na umri wa wiki 36-40

Nb; Mahudhurio haya yanaweza kuzidi manne kulingana na Hali ya Ujauzito,mfano mama akiwa na magonjwa mengine kama presha n.k

No comments:

Post a Comment

tweets on trend

translate

testimonials

''Nimekuwa nina shida ya vidonda vya tumbo kwa miaka 5,ila baada ya kuingia katika tovuti na kusoma nimessaidika sana na huduma za Dr Juma na huduma yake ya dawa sisizo kuwa na chemikali za Bf Suma'' kelvinNicholus

contact us

Name

Email *

Message *