Inaweza tokea na ukahisi tatizo lililoko kwenye mwili na kupelekea maumivu.
Ebu tuangalie maumivu yanavyohusiana na matatizo kwenye ogani za mwili.
MOYO.......
kama kunatatizo kwenye moyo ,unapata maumivu ya kifua na kuelekea kwenye mkono wa kushoto na maeneo ya shingo.
Tatizo la moyo halihusiani na upumuaji.
FIGO.....
Kupata maumivu chini ya mgongo.maumivu haya hupatikana ndani ya mbavu ila maimovu ya misuli huwa chini ya mbavu.
Maumivu yake pia huenda miguuni.
UTUMBO MDOGO....
matatizo ya utumbo mdogo hupelekea maumivu kwenye eneo La kitofu.
maumivu yakiongezeka hasa wakati unainama au unatembea muone dactari.
UTUMBO MPANA....
matatizo ya utumbo mpana husababisha maumivu chini ya kitovu hasa upande wa kulia.
kupata choo kigumu pamoja na kuharisha huwa ni dalili nyingine.
MAPAFU.....
mapafu yenyewe hayana maumivu kwasababu akuna mwishilizo wa mirija ya fahamu.
Ila kama kuna tatizo utaisi maumivu kwenye kifua,kikohozi , na kushindwa kupumua ni dalili nyingine za tatizo la kifua.
APPENDIX (KIAMBATISHO)...
hupatikana chini ya kitovu kwa upande wa kulia, maumivu huathiri eneo lote la tumbo.
maumivu pia huenda mpaka kwenye paja la kulia.dalili nyingine ni kutapika ,homa,
Choo kigumu au kuharisha.
TUMBO.....
maumivu juu ya kitovu ambayo husambaa mpaka kwenye mgongo.
maumivu haya huchanganya na kupelekea makisio kuwa ni maumivu ya moyo.
INI NA KUBOFU CHA MKOJO...
Tatizo hujionesha kwa maumivu upande wa kulia juu ya kitofu na pia hujionesha eneo hiliholo kwa nyuma.
ugonjwa wa INI huambatana na dalili nyingi kama ladha ya siki mdomoni na homa ya manjano.
KONGOSHO....
maumivu huwa katikati ya tumbo wakati mwingine tumbo kwa ujumla.
maumivu huwa makali sana ukilalia mgongo na baada ya chakula.
No comments:
Post a Comment