MADHARA YASABABISHWAYO NA UTI


Haya ni majibu ya uchochezi wa bacteria kwenye mfumo wa haja ndogo(mfumo wa mkojo) ambapa unapelekea uwepo wa seli hai nyeupe kwenye mkojo.

Huu ni ugonjwa ulioenea zaidi ambao unasababishwa na bacteria ambao unawapata watu zaidi ya milioni 150 kwa mwaka.Na unawapata watu wote bila kujari umri wala jinsia.

Wanawake wako katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa huu kuliko wanaume kwa sababu zifuatazo......

...mrija wa mkojo ni mfupi kutoka kwenye kibofu hivyo bacteria wana umbali mdogo wa kutembea
...mrija wa mkojo upo karibu na mfumo wa haja kubwa hivyo bacteria walioko kwenye mgumo wa haja kubwa huwa ni rahisi kuingia kwenye mfumo wa mkojo.

  MAMBO YA HATARI AMBAYO URAHISISHA KUPATA UTI KWA HARAKA
  ...Mabadiliko ya homoni hasa wakati wa ujauzito

....kisukari

....kuto jifanyia usafi mara kwa mara

....kishuka kwa kinga mwili

...kufanya ngono kinyume na maumbile

....kutomaliza mkijo wakati unakojoa

BACTERIA AMBAO WANASABABISHA UTI

...Escherichia coli
...s.saprophyticus
...proteus
....klebsiella
....s.aurwus
....s.epidermidis

DALILI ZA UTI

.maumivu wakati unajisaidia haja ndogo
.kuongezeka idadi ya kujisaidia haja ndogo
.mkojo kutoka wenyewe wakati umemaliza kijisaidia 
.maumivu chini ya kitofu
.mkojo kuwa na harufu mbaya


NJIA ZA KUJIKINGA NA UTI
.Kujisaidia haja ndogo mara baada ya kujaamiana
.kuzingatia usafi

Kama unakubwa na tatizo la UTI mala kwa mala uku unazingatia usafi , maana yake kinga za mwili zimeshindwa kuwadhibiti ivyo inabidi upate dawa zinazoongeza kinga ya mwili

Wasiliana nasi kupitia 
                   .0783708295
Ili iweze jipatia dawa za kuongeza kinga ya mwili.



No comments:

Post a Comment

tweets on trend

translate

testimonials

''Nimekuwa nina shida ya vidonda vya tumbo kwa miaka 5,ila baada ya kuingia katika tovuti na kusoma nimessaidika sana na huduma za Dr Juma na huduma yake ya dawa sisizo kuwa na chemikali za Bf Suma'' kelvinNicholus

contact us

Name

Email *

Message *